Matthew 7:12

12 aKwa hiyo chochote mnachotaka mtendewe na watu, ninyi nanyi watendeeni vivyo hivyo. Kwa kuwa hii ndiyo Torati na Manabii.

Njia Nyembamba Na Njia Pana

Copyright information for SwhKC